Mahiza asimamisha watano kupisha uchunguzi Tanga
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mwantumu Mahiza amewasimamisha kazi watendaji watano wa idara ya ardhi wa halmashauri ya Jiji la Tanga ili kupisha uchunguzi kutokana na utendaji mbovu wa kazi ambao umesababisha jamii kuingia katika migogoro ya ardhi