Nigeria iko tayari kuzungumza na Boko Haram

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari, amesema serikali yake iko tayari kuzungumza na wanamgambo wa Boko Haram ili kuwaachia huru wanafunzi wa kike 209 waliowateka nyara mwezi Aprili 2014, kwenye mji wa Chibok.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS