Ligi kuu ya soka Tanzania bara kurejea tena.
Baada ya kusimama kwa wiki mbili kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, Ligi Kuu ya soka Tanzania bara mzunguko wa 14 unatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa michezo 8 kuchezwa katika viwanja mbalimbali hapa nchini