''Sijaandaa mrithi wa Uganda'' -Museveni Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kwamba ameandaa mrithi wa shamba lake lakini sio mrithi wa Uganda na Waganda watachagua mtu wa kuwaongoza pale ambapo yeye atastaafu wadhifa huo. Read more about ''Sijaandaa mrithi wa Uganda'' -Museveni