Barnaba unanikimbia huniwezi - Linex

Msanii Linex amempa za uso msanii mwenzake ambaye naye ana sauti tamu ya kuimba Barnaba Clasic, na kusema kuwa anamuogopa kufanya naye kazi kwani kwa vyovyote vile atamfunika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS