Zidane mbioni kumrithi Xabi Alonso Madrid Zinedine Zidane Klabu ya Real Madrid wapo katika hatua za kutafuta mbadala wa kocha wao Xabo Alonso ambaye ameonekana kukosa ushawish katika timu na pia matokeo mabovu ya Klabu hiyo. Read more about Zidane mbioni kumrithi Xabi Alonso Madrid