Gombo awaomba Watanzania kupiga kura Oktoba 29 Chama cha wananchi CUF kinaendelea na ziara yake Mkoani Morogoro ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa kampeni zake kuelekea uchaguzi mkuu. Read more about Gombo awaomba Watanzania kupiga kura Oktoba 29