shule 15 zapewa madawati 776 wilaya ya Kyela

Jumla ya Madawati 776 yamekabidhiwa katika shule 15 za Msingi wilayani Kyela Mkoani Mbeya ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Agizo la rais Dokta John Pombe Magufuli la kuhakikisha kila halmashauri inaondokana na changamoto ya uhaba wa Madawati nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS