Mimi sibebi Unga:Shetta Star wa Bongo Fleva Shetta Star wa Bongo Fleva Shetta anayefanya vizuri na wimbo wake mpya wa ''Namjua'' ameweka wazi juu ya mafanikio yake baada ya kuwa na tetesi nyingi kuwa siku hizi na yeye anabeba mabegi ya unga. Read more about Mimi sibebi Unga:Shetta