TAMWA wataka kuwepo na mafunzo ya sheria za ndoa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake nchini Tanzania (TAMWA) kimesema asilimia 90 ya migogoro ya ndoa wanayoipokea husababishwa na kutokuwepo kwa uelewa kuhusu ndoa na sheria zake. Read more about TAMWA wataka kuwepo na mafunzo ya sheria za ndoa