Magufuli asisitiza kuwatumikia Watanzania
Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ameendelea kusisitiza nia yake ya dhati ya kuwatumikia Watanzania wote bila kujali itikadi kwani aliahidi kutowaangusha kwa hiyo ataendelea kusimamia hilo malengo yafanikiwe.