Tutavilinda viwanda vya ndani kwa nguvu-Magufuli

Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.

Serikali ya Awamu ya Tano imesema kuwa itaweka nguvu zake zote katika kuvilinda viwanda vyake vya ndani ikiwa ni pamoja na kuwatengenezea mazingira wezeshe wawekezaji wa ndani katika kujenga viwanda vingi nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS