Je, Fenway Sports Group walimkosea Jurgen Klopp? Huenda Klopp hajawahi kusema hivi moja kwa moja, kauli zake kwenye mahojiano na Steven Bartlett (DOAC) zinatoa picha kwamba wamiliki wa Liverpool, Fenway Sports Group (FSG), hawakumtendea haki. Read more about Je, Fenway Sports Group walimkosea Jurgen Klopp?