Nina furaha toka nitoke CCM - Edward Lowassa
Waziri Mkuuu Mstaafu Edward Lowassa amesema anafuraha kwa kutimiza mwaka mmoja tangu alipowatangazia umma wa watanzania kukihama chama chake CCM na kujiunga upinzani ambapo aliandika historia kwa kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kuhamia upinzani.

