Team Makorokocho
Kundi ambalo lililoahidi kuwa halitoshiriki tena mashindano ya Dance100% mwakani likiwa na maana kuwa wao ndiyo washindi wa mashindano haya katika msimu huu wa tano, likionesha uwezo wao wa kusakata dansi katika usaili wa tatu na wa mwisho.
