P.O.D Crew yatamba kuibuka mshindi wa Dance100

Kundi la P.O.D ambalo limeshiriki Dance100% kwa mara ya kwanza.

Kundi la P.O.D Crew ambalo limejitosa kwa mara ya kwanza katika ushiriki wa Dance100% limesema limeingia siyo tuu kushindana bali kuchukua ushindi wa mwaka huu 2016.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS