Wakaanga samaki soko la feri walia na bei ya gesi

Wizara ya nishati na madini imeshauriwa kukaa pamoja na wauzaji wa gesi inayotumika katika majiko ya soko la samaki la feri ili wafanyabiashara hao waweze kumudu bei ya gesi na kuondokana na changamoto inayowakabili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS