Dance100% imetuwezesha kufahamika -The Winners
Kundi la Winners Crew ambalo limekuwa likishiriki mashindano ya Dance100% tangu kuanzishwa kwake mwaka 2012 na kufika hatua ya fainali mara tatu wamesema kwamba Dance100% imewafanya watoke nje ya mipaka ya Dar es Salaam na kwenda mikoani kufanya kazi

