Dkt. Samia awataka wananchi kujitokeza kupiga kura
Kuhusu ujenzi wa soko jipya la kisasa katika eneo la Kawe, Dar es Salaam, Dkt. Samia ameahidi kuwajengea soko jipya litakalokuwa la kisasa litakalowawezesha kufanya biashara kwa ubora, usafi na usalama unaotakiwa.

