Asilimia 80 wataka maendeleo baada ya uchaguzi

Aidan Eyakuze, Mkurugenzi TWAWEZA

Asilimia 80 ya Watanzania wanasema baada ya uchaguzi kumalizika wanataka maendeleo na siyo siasa na kwamba, vyama vya upinzani vikubali kushindwa na visaidiane na serikali kuijenga nchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS