India yatoa milioni 545 kusaidia waathirika Kagera

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anatazama mfano wa hundi iliyokabidhiwa kwake na Balozi wa India hapa nchini Sandeep Arya pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli, amepokea msaada wa Shilingi Milioni 545 kutoka kwa Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi kwa ajili ya kusaidia wananchi wa Mkoa wa Kagera waliopatwa na maafa ya tetemeko la ardhi lililotokea tarehe 10 Septemba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS