Tambwe aipania Stand kutetea ufungaji bora Amissi Tambwe Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe ameahidi kufunga mabao wakati Yanga leo itakaposhuka dimbani kukipiga na Stand United kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga. Read more about Tambwe aipania Stand kutetea ufungaji bora