Mwanafunzi alazwa kwa kichapo kutoka kwa walimu
Waalimu sita wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Njombe baada ya kudaiwa kumshambulia mwanafunzi wa kike wa kidato cha nne kwa kosa la kukutwa simu ya mkononi katika begi lake la chuma la nguo na waalimu wake.