Mashali kuzichapa na Mmalawi Desemba mwaka huu Thomas Mashali Bondia Thomas Mashali anaweza kushuka ulingoni mwishoni mwa mwaka huu, kuzichapa na bondia wa Malawi Chimwemwe Chiwotcha, kutetea ubingwa wa dunia, ikiwa mipango hiyo itakaa sawa. Read more about Mashali kuzichapa na Mmalawi Desemba mwaka huu