Maendeleo endelevu bila amani haiwezekani: Mbwambo
Tanzania inahitaji kuendelea kuwepo kwa amani ili kuyafikia malengo ya Milenia iliyojiwekea, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha ubora wa elimu unazingatiwa na kuwajengea stadi za kazi za kisasa vijana na wanafunzi.