Serikali yakanusha kukwamisha kiwanda cha Dangote
Serikali kupitia, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema kuwa halijakwamisha uzalishaji wa saruji katika kiwanda cha Mfanyabiashara Mkubwa wa Nigeria Alhaj Aliko Dangote kilichopo Mkoani Mtwara.
