Wazazi wataka adhabu ya viboko iendelee mashuleni

Mwalimu akimuadhibu mwanafunzi

Baadhi ya wazazi wanafunzi katika shule za msingi na sekondari wilayani Kilwa mkoani Lindi wameunga mkono adhabu ya viboko iendelee mashuleni na kutoa wito wa sheria, kanuni na taratibu za utoaji wa adhabu hiyo zifuatwe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS