Serikali kuajiri walimu 35,000 mwakani Selemani Jafo - Naibu Waziri TAMISEMI Wakati wadau wakiishinikiza serikali kutoa ajira mpya za walimu, serikali imesema kuwa imepanga kuajiri walimu elfu thelathini na tano tu (35,000) katika mwaka ujao wa fedha wa 2017/2018 Read more about Serikali kuajiri walimu 35,000 mwakani