Washiriki EATV Awards waacha ujumbe mzito UDSM
Wasanii wanaowania Tuzo za EATV leo wamefichua siri ya mafanikio yao mbele ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Kampasi ya Mlimani), huku wakiwataka wanafunzi hao kujiamini na kutumia vizuri kile walichonacho ikiwa ni pamoja na elimu yao
