Waziri Mkuu adai nyaraka za kuhamishwa faru John
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameugiza uongozi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), kumpelekea nyaraka zote zilizotumika katika kumuhamisha faru maarufu kwa jina la John katika hifadhi hiyo ifikapo Desemba 8, 2016.

