Trump agomea ndege mpya ili kubana matumizi Air Force One - Ndege zinazotumiwa na Rais wa Marekani Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, amesema anataka kupunguza matumizi ya serikali yake kwa kufuta zabuni ya kuagiza ndege mpya za kumsafirisha Rais wa Marekani maarufu kama Air Force One. Read more about Trump agomea ndege mpya ili kubana matumizi