Maafisa usalama wamuondoa Trump jukwaani

Donald Trump akiondolewa jukwaani na afisa usalama baada ya kudaiwa kuwepo tishio la usalama wake.

Mgombea urais wa Marekani Donald Trump amejikuta akiondolewa haraka jukwaani huko Nevada na maafisa usalama kwa kuhofia usalama wake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS