Video ya Kala Jeremiah yamkutanisha mama na mtoto

 Mtoto aliyekuwa amepotea Adam (aliyezungushiwa kiduara cheusi) na picha ya chini ni Adam akiwa na mama yake mzazi jana

Video ya msanii Kala Jeremiah 'Wanandoto' imeweza kumkutanisha mtoto na mama yake mzazi baada ya mtoto huyo kupotea nyumbani kwao tangu mwaka jana mwenzi wa tisa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS