Vituo 25 vya doria kudhibiti uvuvi haramu nchini
Serikali imesema katika kudhibiti wimbi la uvuvi haramu hapa nchini ambao umeonekana kushamiri wameweka mikakati mbalimbali ikiwemo kutoa elimu kwa wadau husika pamoja na kufanya doria za mara kwa mara katika maeneo ya uvuvi.