Magufuli na Lungu watangaza mageuzi makubwa TAZARA
Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema wamekubaliana na Rais wa Zambia Edgar Lungu katika kubadilisha sheria ya kumpata Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli la Tazara ili kusaidia kumpata mtendaji mwenye weledi.