Mechi ya Yanga na Ruvu Shooting yasogezwa mbele
Wakati michezo miwili ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara ikifanyika kesho Jumatano Novemba 9, 2016, mchezo kati ya Young Africans na Ruvu Shooting utafanyika Alhamisi Novemba 10, 2016 kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.