Magufuli atuma rambirambi kufuatia kifo cha Mungai

Rais Dkt. John Magufuli

Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Iringa Bi. Amina Masenza kufuatia kifo cha Mbunge Mstaafu wa Mafinga na Waziri Mstaafu katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Joseph Mungai.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS