Rais wa Korea Kusini asema yuko tayari kujiuzulu. Rais wa Korea Kusini Park Geun-hye amesema yupo tayari kujiuzulu na amelitaka bunge la nchi hiyo kumsaidia njia sahihi ya kujiuzulu. Read more about Rais wa Korea Kusini asema yuko tayari kujiuzulu.