des Cars aomba kujiuzulu baada ya wizi wa bil. 248
Wizi huo ulifanywa baada ya wezi kuchukua dakika saba pekee kuingia kupitia dirishani na kuiba vito vya thamani na kutoroka, wizi ambao Mkurugenzi huyo ameuelezea kama ni kushindwa vibaya kutokana na kuwa na ukosefu wa kamera za usalama katika jumba hilo.

