Navy Kenzo wabadili ratiba ya Rama Dee Navy Kenzo Kundi la Navy Kenzo ambalo tayari limeachia mtaani albam yake ya Above In A Minute (AIM) limemfanya msanii mkali wa R&b Tanzania Rama Dee kubadili tarehe ya utoaji wa albam yake. Read more about Navy Kenzo wabadili ratiba ya Rama Dee