Bocco kutoshangilia bao dhidi Cosmopolitan
Nahodha wa Azam FC John Bocco amepanga kuipa heshima maalum Cosmopolitan leo katika mchezo wa Kombe la Shirikisho kwa kutoshangilia bao atakalofunga kutokana na kutambua mchango wao wa kumtoa hadi kusajiliwa na Azam FC.