Muziki bado unaendesha maisha yangu - Suma G Suma G Rapa Suma G ambaye aliwahi kutamba na ngoma kibao kali kama 'Vituko uswahilini', Demu wako na pia alikuwa akiunda kundi la Hotpot Family amefunguka na kusema mpaka sasa anaendesha maisha yake kwa muziki. Read more about Muziki bado unaendesha maisha yangu - Suma G