AY afunguka ya moyoni kuhusu Joh Makini

AY (kushoto), Joh Makini (kulia)

Rapa AY ambaye hivi sasa anafanya vyema na ngoma yake 'More & More' amefunguka na kusema kuwa toka mwaka 2006 mpaka sasa hakuna rapa ambaye ameibuka na kuwa mkubwa zaidi ya Joh Makini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS