DECI mpya zaibukia Mwanza, moja yatapeli mil 100
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza, linamshikilia Mkurugenzi wa kampuni binafsi iitwayo AQ Computer Co.Ltd na wenzake 7 kwa tuhuma za kukusanya fedha zaidi ya shilingi 100,000,000/= kutoka kwa wananchi kwa njia za udanganyifu.