David Burhan wa Kagera Sugar, afariki dunia Marehemu David Burhan Mchezaji wa timu ya Kagera Sugar, David Abdalah Burhan ambaye pia amewahi kuchezea klabu mbalimbali za bongo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando Jijini Mwanza Read more about David Burhan wa Kagera Sugar, afariki dunia