Wapinzani Kenya wafuta maandamano, wazua jipya

Raila Odinga, kiongozi wa ODM (Chama cha Upinzani Kenya)

Kambi ya upinzani nchini Kenya imehairisha maandamano ya mtaani na badala yake imeamua kuweka mkazo katika kuwahamasisha wafuasi wao kujiandikisha katika daftari la kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi mkuu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS