Linex aibuka na mbinu mpya za kutoa 'hit'

Linex

Msanii Linex Mjeda ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Kiherehere' amefunguka na kusema ule mpango wake wa kutoa wimbo mmoja kwa mwaka kwa sasa hautakuwepo tena ila mwaka huu 2017 ni ngoma baada ya ngoma.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS