NAIBU SPIKA AIKUBALI 'NAMTHAMINI'
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson amejitokeza kuchangia kampeni kwa ajili ya kununulia pedi kwa wanafunzi wa kike inayoendeshwa na EATV LTD kwa kushirikiana na HAWA Foundation, ijulikanayo kama 'NAMTHAMINI'