Mh. Temba alizwa mali zake. Msanii Temba kutoka TMK Wanaume amesema kuwa alikwama katika muziki na kushindwa kuachia kazi zake mwenyewe baada ya kutapeliwa pesa zake na mtu ambaye alikuwa akifanya naye biashara za magari. Read more about Mh. Temba alizwa mali zake.