Simba yamalizana na Baraza la Wadhamini Uongozi wa wekundu wa msimbazi Simba pamoja na baraza la wadhamini wa klabu hiyo wamemaliza tofauti zao na sasa ni mwendo wa kazi kuelekea mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu hiyo. Read more about Simba yamalizana na Baraza la Wadhamini